Video: Vanessa Mdee & Jux – Juu (Offical Video)


Baada ya kudondosha bonge la show juzi kwenye After Skul Bash, Vanessa Mdee na mpenzi wake Jux wameamua kuiachia video ya wimbo wao wa Juu.

Kichupa flani hivi kikali ambacho utapitwa na mengi kama hautakitupia macho.Video ya wimbo wao Juu iliyoongozwa na Justin Campos.

Tazama hapa chini

Post a Comment
Powered by Blogger.