Video: Darassa, Chemical, Dada Hood, Vanessa Mdee & Jux Walivyotisha Kwenye After Scul Bash
Ilikuwa kama surprise kwa mashabiki siku ile pande za Escape One ambapo wasanii kibao walikiwasha, katika jukwaa la After Skul Bash, ukizingatia Dada Hood hakuwemo kwenye list ya wasanii ambao walitajwa kuperform katika tamasha hilo hapo awali.

 
 Picha lilianza baada ya Bill Nas kupanda katika jukwaa na kuanza kufanya yake, ndipo ilipofika time ya “Cash Madame” watu bila kuamini wanamuona Jux pia kwa stage, shangwe lake sitaki ulivutie picha kwasababu nimekuletea video ya show hiyo.

 
Kama Kawaida Darassa aliperform “Muziki” na inasadikika ndio show iliyokuwa na shagwe za kutosha kwenye Jukwaa la After Scul Bash.

Unataka kushuhudia jinsi ilivyokuwa? Nimekuletea hapa full show, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini.

Post a Comment
Powered by Blogger.