Video: Chaz Baba afunguka haya kuhusu bifu na Christian Bella

 
Mkongwe wa muziki wa dance nchini Chaz Baba amesena hana bifu lolote na msanii mwenzake Christian Bella na kwamba yeye ni ‘Team Bella’ damu.

 CHAZ

 Chaz Baba

Pia Chaz Baba amesema ni wakati tu haujafikia na muda ukifikia watakutana na Bella kwa kuwa tangu Bella anaingia Tanzania alikuwa ana muelewa na sasa anafanya vizuri katika muziki na mashabiki wake ndo mashabiki waliokuwa wana mshabikia yeye pia.

Hata hivyo Chaz amesema kwa sasa yeye anafanya kazi zake binafsi na kama kuna bendi ambayo inamtaka inatakiwa ikalipe baadhi ya madeni aliyokuwa anadaiwa na Mashujaa Band japo hana tatizo na uongozi wa bendi hiyo.
Post a Comment
Powered by Blogger.