Travis Scott ameumia baada ya jina lake kutemwa tuzo za Grammy 2017Travis Scott jina lake limekosekana katika tuzo za Grammy zitakazofanyika 2017, lakini baadhi ya mashabiki hawaja pendezwa na ishu hiyo.

Kupitia kurasa ya Instagram ya Sickamore Vice President wa  A&R at Epic Records aliposti picha Travis Scott akiwa anachezea simu yake huku akiwa ameweka caption ya “reading the grammy nominations like…So hurt man.”

A photo posted by sickamore (@sickamore) on
Post a Comment
Powered by Blogger.