Shamsa Ford Atoa Ushauri Huu Kwa Wanawake Wasiojiamini

 
Msanii wa Bongo Movie Shamsa Ford amewashauri wanawake wenzake wabadilike na kuwa na Hali ya kujiamini kwa jinsi walivyoumbwa na Mungu na sio kuanza kujitoa kasoro.

Image result for shamsa ford

Shamsa Ford kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema Wanawake wa siku hizi wanatumia madawa ya kuongeza makalio kwa kuamini kuwa watapendwa zaidi na Wanaume au hata wengine kudiliki kujichubua ili abadilike rangi.

wanawake wenzangu hebu tujiamini jamani na tuuamini uumbaji wa Mungu .Mungu ana sababu ya kukuumba hivyo ulivyo. kama wewe ni mweusi baki na weusi wako,kama huna shape kama Mimi baki hivyohivyo..Maana wengine ndo wanachoma masindano ya kuongeza makalio au hips. mwisho wa siku unapata canser. huyu naye kavaa kigodoro shida ya nini jaman?mwenyewe anacheza kwa mbwembwe hajui vigodoro vimechoka vinataka vikapumzike.Mimi najiamini kupitiliza kama utaona kasoro zangu huwa sijali kabisaa kwasababu huwa naamini Mungu ana sababu ya kuniumba hivi nilivyo..JIAMINI HIVYO ULIVYO.” Ameandika Shamsa Ford
Post a Comment
Powered by Blogger.