Sababu Ya Neddy Music Kumshirikisha Christian Bella.

Kwenye XXL ya Clouds FM leo December 7 Neddy Music ameitambulisha Rudi ngoma yake ambayo amemshirikisha mkali wa masauti Christian Bella.
 Neddy Music ameitaja sababu ya  kufanya kazi na hitmaker huyo wa ngoma ya Nishike. Msikilize Hapa Chini.

 
UNAWEZA KUIPAKUA HAPA "RUDI" YA NEDDY MUSIC NA CHRISTIAN BELLA. 

Post a Comment
Powered by Blogger.