Rapa Lupe Fiasco afunguka haya kuhusiana na Hip Hop

 
Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki.

Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa freestyle yake ya N.E.R.D. ambayo amerap kwenye beat ya wimbo wa J. Cole, Everybody Dies, imefutwa kwenye mtandao wa Soundcloud.

Kutolewa kwa wimbo huo kunadaiwa kutokana na maneno ya chuki na uchochezi. “Artists getting robbed for their publishing by dirty Jewish execs who think it’s alms from the covenant,” amerao Lupe kwenye wimbo huo.

Kupitia Twitter, Lupe aliandika: Post a Comment
Powered by Blogger.