Q chief kuachia wimbo aliyofanya na Patoranking ‘Koku’


Msanii mwenye sauti tamu kunako katika muziki wa Bongo Flava Abubakary ‘QChief’ Katwila, wiki hii anatarajia kuachia wimbo wake aliyofanya na Patoranking uitwao ‘Koku’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Kurasa za mastar wengine, kumeonekana picha inayoashiria kuja kwa wimbo huo.

 Q chief kuachia wimbo aliyofanya na Patoranking ‘Koku’.

Hii ni karata nyingine kwa Q chief kwa siku za hivi karibuni ambapo ameonekana kuwekeza zaidi katika muziki wake.
Post a Comment
Powered by Blogger.