Picha Za Vanessa Mdee Na Ice Prince Zazua Utata Mtandaoni


Vanessa Mdee na Ice Prince wamezua utata mtandaoni kutokana na picha zao za kile kinacho onekana kuwa ni za wimbo wao wa pamoja, No Mind Dem. Blog mbalimbali za Nigeria zimeandika kuwa Vanessa Mdee anaweza kuwa ni mpenzi mpya wa rapper huyo.
Hiyo ina maanisha kuwa Wanaijeria wengi hawajui kuwa Vee ni girlfriend wa Jux. Comments nyingi kwenye post za Ice Prince zinaonesha imani ya mashabiki wake kuwa wawili hao wanaweza kuwa ni wapenzi.


Mwaka huu Vee aliingia kwenye headlines kwa picha na video zilimuonesha alivyokuwa karibu na msanii wa Marekani, Trey Songz.


Jux Feat Vanessa Mdee Wivu Remix:

Post a Comment
Powered by Blogger.