Picha: Young Dee Akutana Na Mwanae Kwa Mara Ya Kwanza


Juzi ilikuwa siku ya historia mpya kwa rapa Young Dee baada ya kukutana na Mwanae wa Kike Tamar kwa mara ya kwanza tangu azaliwe.

Mbali na Binti yake Tamar, Young Dar es Salaam alikutana pia na Mzazi mwenzie Mamisa hali iliyorudisha faraja na amani ambayo kwa mujibu wa Mamisa ilipotea kwa muda.

 Young Dee akutana na Mwanae kwa mara ya kwanza.

Awali ilielezwa kuwa Dee alimkataa mtoto huyo kabla ya kuomba radhi kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akijinasibu kuyabeba majukumu kama baba wa Kichanga hicho.
Post a Comment
Powered by Blogger.