Picha: WCB Walivyowasha Moto Na Kukonga Nyoyo Za Wapenzi Wa Muziki Iringa
Diamond Platnumz na Team yake baada ya kuangusha burudani Jangwani Sea Breez taerehe 24, waliupeleka moto huo wa burudani kwenye uwanja wa Samora, Iringa.

Diamond Platnumz, wasanii wengine wa WCB walioangusha show ni pamoja na Rich Mavoko, Raymond, Harmonize na Queen Darleen. Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini. 
 

 

 

 

 

 

 
Post a Comment
Powered by Blogger.