Picha: Ruge Mutahaba Atembelea Ofisi Za WCB

Kutoka Kushoto ni Rayvanny,Richmavoko,Ruge,Diamond na Harmonize.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba jana usiku alitembelea Ofisi za WCB zilizopo Sinza jijini Dar es salaam.

Moja ya vitu vilivyomsukuma kutembelea Ofisi hizo ni pamoja na kuangalia uendeshaji na Ufanyaji kazi wa Lebo hiyo kubwa kabisa ya Muziki Afrika Mashariki.

Tazama picha zake na wadau mbalimbali wa WCB


Ruge Mutahaba katikati.

 Ruge Mutahaba na Diamond Platnumz.

Ruge Mutahaba na Harmonize

Kutoka Kushoto ni Rayvanny,Richmavoko,Ruge,Diamond na Harmonize.Babu Tale na Ruge Mutahaba
Post a Comment
Powered by Blogger.