Picha | Muonekano Wa Stage Ya EATV AWARDS Muda Huu Hapa Mlimani City.

Kampuni ya IPP Media kupitia kituo chake cha East Africa Television imeandaa tuzo maalum kam heshima kwa wasanii wetu.
 seetheafrica.com imefanikiwa kufika eneo la tukio ambapo tuzo hizo zitataolewa, Hizi hapa picha kadhaa za maandalizi ya ukumbi huo na baadhi ya wasanii wakiwa Reheasal.
  Kwa mara ya kwanza Tuzo hizo zimepangwa kutolewa usiku wa Disemba 10 kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, Dar Es Saalam.
 Mbali na utoaji wa Tuzo hizo pia kutakuwa na shows kutoka kwa wasanii wetu Tukio hilo  linapewa nguvu na Vodacom Tanzania, Cocacola, Barclays na Africasongs.
Post a Comment
Powered by Blogger.