Picha: Maandalizi ya Tuzo za EATVAWARDS 2016
Tuzo za EATV zimeanzishwa mwaka 2016 na kampuni ya East Africa Television na Radio, zitafanyika kwa mara ya kwanza tarehe 10/12/2016 jijini Dar Es Salaam,Tanzania.

Good news ni kwamba kile kipindi chako pendwa cha 5select kwa siku ya leo na kuendelea mpaka siku ya Awards ikifika kitakuwa live kutoka Mlimani City. Show itaanza mida ya saa kumi na moja jioni na  kuendelea vipindi vingine vyote kuruka kutokea hapo.

 Hizi ni baadhi ya picha kutoka Mlimani City, Road to AwardsEATV AWARDS 2016 ni tukio ambalo linatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 10 Desemba 2016 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambalo ni la kwanza kwenye historia ya burudani nchini, litakuwa na viingilio vya kawaida ambavyo kila mtanzania ataweza kumudu gharama zake, na kushuhudia historia ikiandikwa.

 Tiketi zinapatikana, Samaki Samaki City Centre, Masaki na Mlimani City, Namanga Best bite na studio za East Africa TV na Radio.
Post a Comment
Powered by Blogger.