Picha | Jinsi Moto Ulivyoteketeza Nyumba Eneo La Mikocheni Dar

 Nyumba moja eneo la Mikocheni Dar Es Salaam imeungua moto majira ya saa saba mchana wa leo Desemba 6, huku chanzo cha moto huo kikitajwa kuwa nyuki ambao wenyeji wa nyumba waliwasha moto kwa ajili ya kufukuza nyuki waliokuwa wamejenga eneo hilo na kwa bahati mbaya moto huo ulisambaa kwa haraka na kuteketeza vitu kibao.
 Jeshi la uokoaji na zimamoto lilifanikiwa kufika eneo la tukio lakini walikua tayari wamechelewa huku wakidai kutokua na maji ya kutosha kwa ajili ya kuzima moto huo,.

Angalia Picha Zaidi.


Post a Comment
Powered by Blogger.