Picha: Carlos Tevez Afunga Ndoa Na Mrembo Huyu

 


Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoa na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla, mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina.

Tevez amefanikiwa kupata watoto wawili na mpenzi wake huyo ambaye alianza nae urafiki tangu akiwa ana umri wa miaka

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye Harusi hiyo

 
 


Post a Comment
Powered by Blogger.