Neyo aanza kuipigia promo collabo yake na Diamond


Ne-Yo ameanza kuupigia promo wimbo alioshirikishwa na Diamond Platnumz.


 


"Much love to my dude!@diamondplatnumz incredible artist and friend of mine from Africa! Check out his single featuring yours truly #MARRYYOUnow available on iTunes. #NEWMUSIC " Neyo ameandika kwenye mtandao wa Instagram.


Video ya wimbo huo ilishootiwa tangu mwezi wa tisa huko Los Angeles, Marekani.
Post a Comment
Powered by Blogger.