Ney Wa Mitego Ajipa Tuzo Ya Msanii Bora Wa Mwaka

 Image result for ney wa mitego
Msanii Ney wa Mitego amesema kwa mwaka huu yeye ndiye msanii bora aliyefunga mwaka baada ya kazi zake kuwa zenye ukweli na kugusa maisha ya watu.

 Image result for ney wa mitego

Akizungumza na EAT, Ney wa Mitego amesema kwa mwaka huu wimbo wa shika adabu yako ulikuwa ni wimbo ulioongea ukweli mtupu, ikiwemo kuyeyuka kwa mimba ya Wema Sepetu, Gari la Shetta na mengineyo ambayo yalikuwa gumzo kwenye mitandao ya watanzania.

Mtazame hapa akizungumzia kuyeyuka kwa mimba ya Wema Sepetu na mahusiano yake na mlimbwende huyo ambaye ni kipenzi cha watu wengi hapa Bongo.
Post a Comment
Powered by Blogger.