MTV Yaitaja Fada Fada Ya Phyno Kama Ngoma Bora Kwa Mwaka 2016Kituo cha TV cha MTV Base West kimetoa orodha ya ngoma zilizobamba zaidi nchini Nigeria, Hitsongs kibao zimeingizwa kwenye list hiyo huku rapa Phyno akiongoza orodha hiyo na ngoma yake Fada Fada aliyomshirikisha mkali mwingine Olamide.Wakali wengine waliofanya orodha hiyo kuwa ndefu zaidi ni pamoja na Tekno, Timaya , Adenkule Gold, Reekado Banks na mtoto mzuri Niniola na ngoma yake "Shabba". 

seetheafrica.com imekusogezea orodha kamili ya ngoma hizo zilizobamba nchini Nigeria. Unaweza kuziona kwa kubofya hapa

TEKNO KAGOMA KURUDI NIGERIA | KAWATAJA MADEMU WA BONGO ANAOWAKUBALI:

Post a Comment
Powered by Blogger.