MTV Watoa Orodha Ya Rappers Bora Zaidi 2016, Kanye West Aongoza


Kituo cha MTV kimemtaja Kanye West kuwa ndiye rapper mkali zaidi kwa mwaka 2016.

Vigezo vilivyotumika kuwapata wasanii kumi wa Hip Hop waliofanya vizuri kwa mwaka huu ni pamoja na mashairi makali, ukubwa wa muziki wao kwa mashabiki, mitindo yao na uwepo wao kwenye jamii.

Tazama orodha kamili hapo chini

1. Kanye West

2. Drake

3. Chance the Rapper

4. Travis Scott

5. Future

6. Young Thug

7. YG

8. Kendrick Lamar

9. Lil Uzi Vert

10. 21 Savage
Post a Comment
Powered by Blogger.