Meek Mill na Nicki Minaj Wamwagana, Mwanamke Aliyeingia Kati Yao Huyu Hapa

 

Taarifa zinasema Nicki Minaj na Meek Mill wameachana rasmi baada ya Meek Mill kumsaliti na mwanamke anayejulikana kama Sonye.

Jumalipi ya Dec. 18 mashabiki waligundua kuwa Meek na Nicki hawafatani tena kwenye mtandao wa instagram na jambo hili limechochea taarifa za kutengana kwao.

Meek Mill aliweka picha instagram iliyoambatana na ujumbe “$avage…just friends.” ila mpaka sasa haijajulikana mwanamke huyu ni nani…

Meek Mill na Nicki Minaj wamekuwa pamoja kwenye macho ya watu toka February 2015.

Wakati huo huo wiki iliyopita Nicki aliandika kupitia mtandao hu kwa kunukuu mashairi ya wimbo wa Beyonce, Best Thing I Never Had, Thank God u blew it. Thank God I dodged the bullet. I’m so over u. Baby good lookin out. #BestThingUNeverHad

Hata hivyo imedaiwa kuwa wawili hao kila mmoja amemunfollow mwenzake kwenye mtandao huo. Meek na Minaj wamekuwa pamoja kwenye mahusiano tangu Februari 2015.

Bossip imeripoti kuwa Sonye ni mmiliki wa duka la nguo na amekuwa na Meek kwa zaidi ya mwka mmoja huku Meek akiwa na Nicki Minaj.

Pia Minaj na Meek Mill kwa sasa wanaishi nyumba tofauti huku kambi ya Nicki Minaj ikithibitisha kuwa hawako pamoja.

sonya-12 

 Hii ndio post ya Meek Mill iliyoleta Drama

 nicki-minaj-12
Post a Comment
Powered by Blogger.