Meek Mill afuta Account yake ya Instagram kwa mara nyingine kisa hiki


Mara ya mwisho kusikia Meek Mill ametoka kweye Instagram ilikuwa ni ujio wa mixtape yake, Sasa mashabiki wamekuwa na maswali tena nini kimemtoa tena IG Meek Mill.

Sasa Moja ya ishu kubwa ambayo imetalawa vinywani mwa mashabiki ni kwamba kunatofauti imetokea baina ya Meek Mill pamoja na Nick Minaj na hii imekuja baada ya Meek kusherehekea miaka 34 ya siku ya kuzaliwa Nicki.


Katika habari za kunyapia nyapia ambazo zinasambaa zinasema kwamba, kuna posti ilipostiwa na Nicki Minaj ambayo inaonyesha wawili hao kweli wana mushikeli.

A photo posted by Nicki Minaj (@nickiminaj) on
Post a Comment
Powered by Blogger.