Chukua Hii Zawadi Ya Christmas Kutoka Familia Ya Vanessa Mdee

Kutoka kwenye familia ya Mdee ni Vanessa Mdee, Mimi Mars na mshikaji anaitwa Tommy Flavour wanayo furaha kusherehekea sikukuu ya Christmas na mashabiki wao,
 Mapema Leo Dec 23 wamedropisha hii "O Holly Night"
 Furahia muziki mzuri kutoka kwa vichwa hivi vitatu kwa kubonyeza link ya Download Hapo chini.

http://www.audiomack.com/song/seetheafricanRadio/o-holy-night-seetheafricacom

Vanessa Mdee Na Jux Wakishambulia Jukwaa La After School Bash 2016:
Post a Comment
Powered by Blogger.