Mariah Carey Adai Hawajui Ariana Grande, Miley Cyrus Na Demi LovatoMariah Carey aliwahi kutengeneza headlines kwa kudai kuwa hamjui Jennifer Lopez. Na sasa amerejea tena kwenye story kama hiyo kwa kudai kuwa hawajui wasanii wengi wapya, hususan wa kike.

Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha ‘Watch What Happens Live’, Jumapili, muimbaji huyo aliulizwa kuhusu alivyochukulia baada ya Demi Lovato, kumkosoa kwa kauli yake dhidi ya J.Lo.

“I don’t know her either so I wouldn’t say anything to her,” alisema Mariah. “She should come up, introduce herself to me, say, ‘Here’s my opinion. What do you think about it? That’s how you handle shit. Okay?”

Kwenye show hiyo, Mariah pia alidai hamjui Miley Cyrus.


 “I think we met in a bathroom once,” alijibu kuhusu Miley. “I don’t know.” Mtangazaji Andy Cohen alimkumbusha kuwa aliwahi kutumbuiza naye kwenye ‘VH1 Divas’, Carey aliongeza, “I’ve performed on that show a lot of times, [with] Aretha Franklin, Diana Ross… How am I supposed to remember everybody else?”

Kuhusu Ariana Grande ambaye aliwahi kufananishwa naye, Mariah alisema: I don’t know. I really don’t. Honestly, I’m not familiar. I listen to hip-hop more than I listen to pop music.”
Post a Comment
Powered by Blogger.