LuluDiva Feat. Barnaba - Milele (Official Music Video)

 Wengi tumezoea kumuona kwenye video za wasanii wengine kama Video Vixen na muigizaji wa filamu za kibongo, Mrembo Luludiva ameingia Hightablesound na kutengeneza Kolabo yake na Barnababoy Classic,
 Mzigo ambao umepewa jina milele..
 Tayari Official Video ya wimbo huo imetoka.
 Enjoy Nayo Hapa:
Post a Comment
Powered by Blogger.