Lile La Kuibiana Ngoma, Hatimae Baraka The Prince Uso Kwa Uso Na T Knock


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Baraka the Prince leo amekutana uso kwa uso na msanii mwenzake T Knock ambaye amekuwa akimtuhumu kumuibia wimbo wa 'So fine'.

 

Kwenye Planet Bongo ya East Africa radio, wasanii hao walikutanishwa bila kujua kama watakutana, na matokeo yake kila mmoja alikuwa 'akipanick' kwa kumuita mwenzake muongo, huku Baraka akikana kumjua T Knock.
Post a Comment
Powered by Blogger.