Lile la Kanye West lamkuta Msanii huyu kutoka Nigeria, ahairisha show zake zote mpaka Mwakani


Usitarajie kumuona Wizkid akipost Video au Picha za show yoyote kwa mwaka huu, kwani ameahirisha kufanya show mpaka mwakani mwezi wa Kwanza.


Image result for wizkid

Kutokana na maelezo aliyoyatoa kupitia mtandao wa Twitter ni kwamba hata yeye hajapenda kufutilia mbali ratiba ya show zake ila ni kwa ushauri aliopewa na Madaktari wake unaomtaka apumzike kwa muda kidogo ili kupumzisha akili na Mwili.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter  Muimbaji huyo wa Ojuelegba aliandika.

 
Post a Comment
Powered by Blogger.