Klabu Ya Chelsea Imethibitisha Kumuuza Oscar Nchini China

Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tetesi kwamba huenda Oscar akaihama klabu ya Chelsea na kuelekea huko China ambako klabu ya Shanghai SIPG imekuwa ikimuhitaji kwa muda mrefu.Image result for oscar chelsea


Leo kupitia mtandao wa Twitter klabu ya Chelsea imethibitisha kumuuza mchezaji huyo kwa kitita cha £52m kwa matajiri hao wa uchina, Kwa dau hilo Oscar ataingiza mkwanja wa kiasi cha Euro Milioni 2o na kumfanya kuwa mchezaji anaelipwa mkwanja mrefu zaidi Duniani sawia na Ronaldo na Messi.

“Chelsea Football Club and Shanghai SIPG have agreed terms for the permanent transfer of Oscar…” imeandika Klabu ya chelsea kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Post a Comment
Powered by Blogger.