Kid Ink Anayo furaha kushea Hii Na Wewe

Siku chache zikiwa zimebaki kufika 2017 mwaka ambao rapa Kid Ink ameahidi kufanya wandaz kwa mashabiki wake ameachia kipande cha ngoma yake "Yu Know It" ambayo amesema ni kama zawadi kwenye sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

ENJOY NAYO HAPA:
Post a Comment
Powered by Blogger.