Kaunti ya Nairobi yakabiliwa na madai ya ufujaji pesa

Serikali ya kaunti ya Nairobi inakabiliwa na hatari ya kuvunjiliwa mbali na mamlaka yake kutwaliwa na serikali kuu kufuatia ripoti ya mkaguzi mkuu wa mahesabu ya umma inayodai kuweko kwa ufujaji mkubwa wa fedha za umma..  chanzo citizentv
Post a Comment
Powered by Blogger.