Kauli Ya Rapa The Game kufuati Balc Chyna Kumikimbia Rob KardashianUkiongelea mastaa waliotawalasana kwenye vichwa vya habari ya majarida na tovuti mbalimbali kwa mwaka huu huwezi kuwaacha Model pia Video Vixen Blac Chyna na baba mtoto wake Rob Kardashian,
Kama ulikua hujaisanukia hii ya wawili hao kumwagana chukua hii..

Kupitia ukurasa wa Instagram Rob anaonekana kuwa wazi jinsi gani anaumia kufuatia kitendo cha Blac Chyna kuondoka na mtoto Dream huku kisa kikitajwa kuwa ugomvi wa kifamilia unaopinga Blac Chyna kutumia jina la ukoo huo (Kardashian).
Rob amechimba ndani zaidi na kuelezea mapenzi aliyokua nayo na kiasi gani alivyojitolea kwa babymama wake huyo.

“”I loved every inch of that woman and loved everything that came with her. I truly loved Angela. I gave everything I owned for her. Didn’t know I was just part of her plan. I really believed she was in love with me the way that I was with her and I am so hurt and never felt this before.” ameandika Rob.
Rob hakuishia hapo, ameendelea kuitumia mitandao ya kijamii kama sehemu pekee ya kuweka wazi hisia zake, aliongezea nyingine hii

“Sorry to be so open but I’m not feeling so good after seeing @blacchyna messages about me and what her plans were. I have never been this heartbroken in my life. I don’t mind being so open or if anyone thinks I’m being weak but I don’t play when it comes to Family and Chyna was my Family and thought we were getting married. I treated her as a Queen. My baby girl is 1 month old and Chyna took her and left this beautiful home that I just bought for us. Right before Christmas. Someone I have given my all too. I Loved every inch of that woman and loved everything that came with her. I truly loved Angela. I gave everything I owned for her. Didn’t know I was just part of her plan. I really believed she was in love with me the way that I was with her and I am so hurt and never felt this before. It’s different when you have a kid with someone. And after reading Chyna’s messages to her best friend she was going to drop me after a year. She didn’t even make it to that. I am so broken. This is a woman I fought my entire family for. I was in love with this woman to the fullest and I was none of that to her.”

Rapa The Game ambaye aliwahi kuthibitisha kuvunja amri ya sita na Kim, Khloe pamoja na Black Chyna hakuaiacha post ya Rob ipite, Cheki hapa alivyoachia comment ya kibabe.
thegame
Upande wa pili unadai instagram akaunti ya Chyna imeingiliwa na watu wasiojulikana na kuanza kutokwa na mapovu ambayo yalionyesha ni kama Chyna mwenyewe ndiye alikua msemaji.

“I have done nothing but help & loved him from the beginning! It’s Chy here i got my own!!! I was doing swell before I got with him! I got him out of Khloe’s house, helped him lose all that f***ing weight for him to do nothing & gain it all back! Rob asked for all of this!”
Post a Comment
Powered by Blogger.