Kanye West na Kim Kardashian wamekanusha tetesi za kuachana

Mapema leo vyombo vya habari vingi vimeandika Tetesi za Kuhusu mwanamama mrembo Kim Kardashian kuachana na Mpenzi wake Kanye West.


Image result for kanye west and kim kardashian 

Basi usifikirie tena hilo suala kwani wawili hao kupitia kwa mtu wao wa karibu kutoka kwenye familia yao, amesema wapo poa na ukimya wa Kim ni kwa ajili ya kumhudumia mumewe.

Tena ripota huyo kasema wapo kwenye mahaba mazito kwani Kanye anahitaji faraja kubwa hususani kwenye kipindi hiki cha ku’recover baada ya kutoka Hospitali.
Post a Comment
Powered by Blogger.