Kajala Awatolea Uvivu Wanao mchonganisha na Mke wa Petitman Mitandaoni


Mwanamama Mrembo kunako Tasnia ya Filamu nchini Tanzania Kajala Masanja ameamua kuwatolea uvivu wale wanaomchonganisha yeye na mke wa Petit na kusema kuwa yeye na Petit wametoka mbali kwani alimsaidia sana kipindi alivyokuwa jera hivyo anamchukulia Petit kama ndugu yake na wala hakuna mahusiano yoyote na anamheshimu sana mke wake na Petit Esma. Kajala

Petit Man zamani alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Kajala Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo mrembo huyo aliandika “Jamani i think this is too much sasa na mnavuka mipaka. ifike muda watu muwe mnatumia akili kufikiria mnavyotaka kusema. Hivi kama ulishakuaga na mahusiano na mtu na hayo mahusiano yakaisha So huruhusiwi kuongea nae?? Are you guys Owkay?? 

Hivi mnajua mchango wa Petit katika maisha yangu? Mnajua jinsi alivyonisaidia wakati niko katika kipindi kigumu cha jela? Au mnakua mnaongea tu ili mfurahishe watu… Petit sasahivi ni part ya familia yangu na sio mambo ya mapenzi. Kwani mimi sijui kama ana mke na ana familia? Why watu mnakua na akili fupi sana za kufikiri….mimi siwezi kuwa na ugomvi na esma kwasababu ya petit…esma ni mke wake na wana mtoto na kila mtu anajua…na mimi nitaendelea kumchukulia petit kama ndugu na rafiki wa karibu kwasababu ya mchango na msaada wake katika maisha yangu. 

Sitoacha kuongea na petit kwa ajili ya ujinga wenu mnaosema…haitawahi kuja kutokea…sasa basi, i think am clear na tumeelewana kabisa…nyie ndo mnakuaga chanzo cha watu kugombana bila sababu..tafuteni kazi za kufanya… have a lovely evening.”Jamani i think this is too much sasa na mnavuka mipaka. ifike muda watu muwe mnatumia akili kufikiria mnavyotaka kusema. Hivi kama ulishakuaga na mahusiano na mtu na hayo mahusiano yakaisha So huruhusiwi kuongea nae?? Are you guys Owkay?? Hivi mnajua mchango wa Petit katika maisha yangu? Mnajua jinsi alivyonisaidia wakati niko katika kipindi kigumu cha jela? Au mnakua mnaongea tu ili mfurahishe watu... Petit sasahivi ni part ya familia yangu na sio mambo ya mapenzi. Kwani mimi sijui kama ana mke na ana familia? Why watu mnakua na akili fupi sana za kufikiri....mimi siwezi kuwa na ugomvi na esma kwasababu ya petit...esma ni mke wake na wana mtoto na kila mtu anajua...na mimi nitaendelea kumchukulia petit kama ndugu na rafiki wa karibu kwasababu ya mchango na msaada wake katika maisha yangu. Sitoacha kuongea na petit kwa ajili ya ujinga wenu mnaosema...haitawahi kuja kutokea...sasa basi, i think am clear na tumeelewana kabisa...nyie ndo mnakuaga chanzo cha watu kugombana bila sababu..tafuteni kazi za kufanya... have a lovely evening.
A photo posted by Kajala Masanja (@new_kajala) on
Post a Comment
Powered by Blogger.