John Legend Na Mkewe Waweka Wazi Kinachofanya Penzi Lao Kustawi Kila Siku.

 Hawawezi kuwa pamoja mwaka mzima lakini kwa John na Chris hilo sio tatizo hata ifike hatua ya mapenzi yao kulegalega.
 Wakiwa katika mipango ya kufurahia sikukuu ya Christmas kwa mara ya ya kwanza wakiwa na mtoto wao Luna, Mtandao mmoja wa mastaa wa Hollywood ulipiga stori na mastaa hao na kutaka kujua nini siri ya kustawi kwa penzi lao kila kukicha.

"You just have to make time for each other, go on little trips like we did for her birthday and go to dinner just the two of you sometimes," alisema John Legend  "You still have to have romance time."
 "Yes, and travel away from each other a lot that helps." Say what?! 
 
"We're not together 365," Chrissy shared.  "It's nice to be able to really be like, ‘Oh my gosh, I miss you. I miss you so much.' That works for both of us." Chrissy alimaliza,
 "Unajua mimi na John tumekua tukisafiri mara kwa mara kiasi hatukai pamoja mara nyingi. Tunaenda sehemu tofauti tofauti hivyo christmas hii tumeamua kukaa nyumbani na kufurahi na mtoto wetu. alisema Chrissy
 
 
 
Nedy Music Azungumzia Kolabo Yake Na Christian Bella
 
Post a Comment
Powered by Blogger.