Je,Shilole Atatoa Bando La Miezi 9 Kama Alivyoahidi Kwenye Jukwaa La Wasafi Beach Party? Majibu Haya Hapa


Usiku wa Wasafi Beach Party kulitawaliwa na vitu vingi sana upande wa burudani miongoni mwa vitu vilivyo kuwepo ni deals za hapa na pale kutoka kwa baadhi ya Wasanii waliokuwa wakitoa burudani hizo akiwemo Shilole.Shilole akiwa jukwaani aliomba apande kijana wa kuimba nae, ndipo alipojitokeza kijana mmoja baada ya perfomance yake alisema yule kijana kajitahidi sana hivyo anamuahidi kumnunulia bando la miezi 9 kwenye simu yake.

Baada ya kushuka Stejini Seetheafricanlink ilitaka kupata uhakika kwa ahadi ile aliyoahidi,


 Shilole alisema "Nimemaanisha mimi nina Shishi trump halafu nipo vizuri mimi ni msanii mkubwa siwezi kushindwa kumlipia bando la miezi 9, nimempenda kwa sababu kaonyesha upendo na ana onekana ni shabiki wangu wa ukweli".
Post a Comment
Powered by Blogger.