Izzo Bizness & Abela Music – Umeniweza (Official Music Video)

 

Rapa Izzo Bizness wameshirikiana na Mrembo Abela Music wametengeneza wimbo unaoitwa ‘Umeniweza’.

Hapa wanakualika utazame video ya wimbo huo iliyoongozwa na Hanscana ikiwa mdundo wa ngoma hii katengeneza Abbah. 

Tazama video hapa 
Post a Comment
Powered by Blogger.