Hii Hapa Tarehe Ambayo Vanessa Mdee Ataachia Album Yake ‘Money Mondays’


Hatimaye Vanessa Mdee ametoa tarehe ya kutoka kwa album yake  ya kwanza , Money Mondays. Amesema kuwa album hiyo itatoka March 2017.

 vee

“It’s a good time for me, it’s my first album and I am excited, ninamwachia Mungu inshallah kila kitu kitaenda sawa,” Vee aliiambia Lake FM ya Mwanza.

Album hiyo itakuwa na collabo kibao za kimataifa na pia kushirikisha watayarishaji mbalimbali barani Afrika. Wiki iliyopita Vee aliachia wimbo wake mpya, Cash Madame unaofanya vizuri tayari.

Pia Vee ameahidi kuachia kitu kipya kila jumatatu ya mwezi wa kumi na mbili.
Post a Comment
Powered by Blogger.