Hii Hapa Orodha Ya Ngoma Zitakazo Kuwepo Kwenye Album Mpya Ya Navy Kenzo 'AIM'


Kundi la Navy Kenzo mwezi huu wanaachia Album yao ya kwanza inayoitwa ya ‘Aim' "Above Ina Minute" na kwenye Album hiyo kutakuwa na nyimbo kumi na moja.

Leo kupitia ukurasa wao wa Instagram wametoa Cover ya Orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo Kwenye Album hiyo na majina ya wahusika waliotengeneza Album hiyo kuanzia Maproducer na wasanii walioshiriki kwenye utunzi pia.Wasanii walioshiriki ni Patoranking, Ali Kiba na R2bees kutoka Ghana, Wengine ni Rose Ree na Wildad wote wawili kutoka Lebo ya The Industry inayomilikiwa na Nahreel na Navy Kenzo.

Post a Comment
Powered by Blogger.