Hatiame Kanye West Abadilisha Mpango Wake Wa Kugombea Urais 2020Kanye West ameongoza kwenye vichwa vya habari baada ya kukutana na rais mteule wa Marekani, Donald Trump.

 

Kanye West amejikuta kwenye hali ngumu baada ya jamii ya watu weusi kumkosoa kwa kitendo icho, Hata hivyo rapper huyo amelazimika kueleza kupitia Twitter kwanini amekutana na bilionea huyo. Amedai alitaka kuzungumza naye masuala mbalimbali ikiwemo unyanyasaji, kusaidia wwalimu, kuboresha mitaala ya kufundishia na ukatili jijini Chicago.unyanyasaji, kusaidia wwalimu, kuboresha mitaala ya kufundishia na ukatili jijini Chicago.

I wanted to meet with Trump today to discuss multicultural issues,” alitweet. “These issues included bullying, supporting teachers, modernizing curriculums, and violence in Chicago. I feel it is important to have a direct line of communication with our future President if we truly want change.”

Kanye West pia ametangaza kusogeza mbele mwaka ambao atagombea uchaguzi, Ametweet #2024.
Post a Comment
Powered by Blogger.