Hali ni mbaya katika hospitali za umma

Kadri madaktari na wauguzi elfu tatu kote nchini wamesusia kazi na kuanza rasmi mgomo uliokua ukitokota kwa muda mrefu sasa. Wagonjwa kutoka sehemu nyingi nchini walirudi makwao bila matibabu yeyote kukiwa hakuna wa kuwahudumia.

Vile vile wagonjwa kutoka hospitali ya mathare walionekana kutoroka isijulikane ni kwa nini. Saida Swaleh na taarifa hiyo
.
Post a Comment
Powered by Blogger.