Eatv Awards yatisha, Hii hapa Orodha nzima ya washindi tuzo za Eatv awards 2016Mashabiki wa sanaa nchini na Afrika Mashariki leo Jumamosi ya Desemba 10 wamepata kujua wasanii wa muziki na filamu walioibuka washindi wa tuzo kubwa kuwahi kufanyika nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla za EATV Awards 2016.

 Tuzo hizo ambazo zimeandaliwa na kituo namba moja kwa sasa nchini Tanzania cha East Africa Television (EATV) Ltd, zinalenga kuboresha kazi za Sekta ya Sanaa, hatimae zimetolewa kwa wasanii mbalimbali wanaojihusisha na sanaa katika kutambua mchango wao pamoja na ubora wa kazi zao.

 Hii ni Orodha nzima ya washindi

1. Mwanamuziki bora wa kiume

G Nako
Shetta
Mwana FA
Ben Pol
Ali Kiba - WINNER

2.Mwanamuziki bora wa kike

Lilian Mbabazi (Uganda)
Ruby
Lady Jay Dee - WINNER
Linah
Vanessa Mdee

3. Mwanamuziki bora chipukizi

Man Fongo - WINNER
Feza Kessy
Rucky Beby
Mayunga
Bright

4. Kundi bora la muziki

Navy Kenzo - WINNER
Mashauzi Classic
Team Mistari (Kenya)
Sauti Sol (Kenya)
Wakali Wao

5. Video bora ya muziki

Namjua- Shetta
Njogereza- Navio
Aje- Ali Kiba - WINNER
Dont Bother- Joh Makini
NdiNdiNdi- Lady Jay Dee

6.Wimbo bora wa mwaka

 Dont Bother- Joh Makini
NdiNdiNdi- Lady Jay Dee
Kamatia Chini- Navy Kenzo
Aje- Ali Kiba  - WINNER
Moyo Mashine- Ben Pol

7. Muigizaji bora wa kiume

Meya Shabani Hamisi
Salim Ahmed (Gabo) - WINNER
Daudi Michael (Duma)
Dotto Husein (Matotola)
Saidi Mkukila

8. Muigizaji bora wa kike

Chuchu Hansi - WINNER
Rachel Bithulo
Frida Kajala Masanja
Khadija Ally

 9. Filamu bora ya mwaka

Facebook Profile
Safari ya Gwalu - WINNER
Mfadhili Wangu
Hii ni Laana
Nimekosea Wapi

10.Tuzo ya heshima - BONY LUV huyu ndiye aliye beba tuzo hii.

SeetheAfricanLink inatoa pongezi kwa wale wote walioweza kunyakuwa tuzo hizo usiku wa kuamkia leo.
Post a Comment
Powered by Blogger.