Dogo Janja aweka wazi kitu anachojutia Maishani mwakeDogo Janja amesema katika kitu ambacho anajutia maishani ni kutoendelea na shule.

 da749c4c-390c-447d-b17d-53855c2cfd07

Dogo Janja

Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV, Dogo Janja alisema, “Mimi kitu ambacho mpaka leo huwa najutia ni kukosa shule. Kipindi ambacho ndio nimetoka Tip Top nilirudi Arusha halafu ndio nilikuwa nipo form two halafu ndio mitihani ilikuwa imekaribia pia ya mock, kwahiyo wenzangu walifanya lakini mimi sikupata experience ya mtihani hata uko vipi, unakujaje.”

“Halafu nikakaa sana Arusha, nimerudi kama wiki tatu tu mtihani huu hapa kwahiyo nilifeli. Hata kufeli kwangu hakukuwa kwa marks kubwa japokuwa niliweza kupitwa na vitu vingi.”

Dogo Janja alikuwa anasoma kwenye shule ya sekendori ya Makongo.
Post a Comment
Powered by Blogger.