DJ Bonny Love Afunguka Jipu Linaloitafuna Bongo Fleva Kwa SasaDJ mkongwe nchini ambaye amepata Tuzo ya Heshima katika tuzo za EATV, ametaja sababu kubwa inayorudisha nyuma muziki wa kitanzania kuwa ni pamoja na kukatishana tamaa, na kutopendana, huku akitoa maoni yake kuhusu 'team za ushabiki' katika muziki.Bonny ametoa kauli hiyo mara baada ya kupokea tuzo yake, na kusema kuwa anatamani kurudi kwenye 'game' ili arekebishe baadhi ya mambo ambayo ni kama 'jipu' kwenye muziki.

Pia ameelezea umuhimu wa ma-DJ katika kuinua muziki wa Tanzania na kutaka wazidi kuthaminiwa.
Mtazame hapa DJ Bonny Love akifunguka.

Post a Comment
Powered by Blogger.