Diamond noma! Hatimae picha yake kuwekwa Makao makuu ya Trace Urban


Diamond anaendelea kushangaza wengi kwa namna anavyozidi kupasua anga, mbali na kutajwa mara kwa mara kwenye headlines nyingi.


Diamond ameingia kwenye headline tena baada ya picha yake kuwekwa makao makuu ya kituo cha television maarufu cha trace urban, picha ya Diamond ni moja kati ya picha za mastaa wengi wakubwa afrika na duniani kote, wasanii wengine ni Wizkid, Jay z na wengine wengi.

Kupitia kurasa za instagram mashabiki wengi wamekuwa wakimpongeza Diamond kwa hatua hiyo kubwa,mmoja wa mashabiki hao ni Issa Azam.

kupitia ukurasa wake wa instagram kaandika ujumbe uliosomeka hivi..

Post a Comment
Powered by Blogger.