Davido aweka wazi mpango wake wa kurudi Chuo kwa ajili ya 'Masters'


Akiwa anafanya vizuri na ngoma zake za The Coolest Kid in Afrika, How Long aliyofanya na Tinashe, Davido anataka kurudi tena shule kuendelea na masomo.


Davido

Licha ya kuwa na Degree katika maswala ya muziki, Davido anataka kurejea tena chuoni kupiga masters, taarifa hiyo aliitoa katika ukurasa wake wa Twitter ambapo alitaka mashabiki zake kufahamu mchongo huo.

Tweet hiyo ilisomeka hivi "Going back to school for masters... I want it all!" aliandika Davido


Post a Comment
Powered by Blogger.