Darassa afunguka haya juu ya ngoma yake 'Muziki' kuwa Hit Song kwa siku 2 tu


Hitmaker wa ngoma ya “Muziki” Darassa CMG leo Ijumaa ya December 9 alikuwa akikinukisha kwenye kipindi cha XXL ya Clouds FM kipengele cha Jiwe la Wiki akiwa na ngoma yake hiyo hiyo ya “Muziki”.

 

Darassa

Moja kati ya maswali ambayo Darassa aliulizwa na BDozen ni kuhusu ngoma yake ya “Muziki” imewezaje kuwa hitsong kwa muda mfupi kiasi hicho.

“Hard work pamoja na kuamini ndio vitu ambavyo vimeifanya ngoma ya Muziki kua wimbo mkubwa sana ndani ya muda mfupi kiasi hicho.” Hayo ndio yalikuwa majibu ya Darassa CMG kuhusiana na wimbo wake huo wa “Muziki” kuwa mkubwa sana kwa muda mfupi.
Post a Comment
Powered by Blogger.