Chukua Hii Ya Taylor Swift Na Zayn Malik KwenyeFifty Shades Darker


Taylor Swift ameingia studio na mkali wa single ya Pillow namzungumzia Zayn Malik kwa pamoja wametengeneza kitu kinaitwa "I Don't Wanna Live Forever"
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanamuziki Taylor Swift ameachia kipande cha video ya ngoma hiyo ambayo ni soundtrack kwenye Tamthlia ya Fifty Shades Darker.
A video posted by Taylor Swift (@taylorswift) on
 Mpaka sasa mzigo unapatikana  iTunes peke yake kwa watumiaji wa devices za Apple.Angalia Hapa Trailer Ya Fifty Shades Darker

Post a Comment
Powered by Blogger.