Chris Brown Atema Sumu Instagram Kwa Kuchukuliwa Poa


Chris Brown amechukizwa na fitina kwenye muziki wa Marekani. Kwenye post yake ya Ijumaa hii kwenye Instagram, Breezy amegoma kuingizwa kwenye stress za streaming za muziki huku akidai pia kuwa amekuwa akifanya kazi kwa bidii lakini ni kama wana wanamchukulia poa huku waimbaji wabovu wakipewa mashavu.“I work harder then all these n****s wit half a y’all consumers afraid and bias a** opinions on me,” aliandika. “NAME ONE N***A OUT HERE DAT CAN eVEN DO HALFOF WHAT I CAN!!! IN MY KANYE VOICE!!!”

Aliendelea kuwaomba mashabiki wake waendelee kumuunga mkono kwakuwa hakuna mwanamuziki mwenye passion kama yeye.

“Take ya head out y’all a** and support the only artist left with a vision and dedication to his fans,” aliendelea Brown. “I AInt GONE KEEP BUSTING MY A** FOR IT TO BE TAKEN FOR GRANTED BY F**K N****S IN SOCIETY! IM ON MY GORILLA S**T! I’m passionate about my s**t and you can name one n***a that directs his own s**t/spend money on my projects out my pocket!!! Y’all better wake up following these non lyrical rappers and scared a** internet thugs. #NOMOREFAKESHIT. Put yo money where ya mouth is!!!!! Simple as that!!! ( NO ARROGANCE, I JUST KNOW WHAT IM WORTH) you should to!.”

 Brown ameachia video ya wimbo wake Party akiwa Usher na Gucci Mane.

Post a Comment
Powered by Blogger.