Vanessa Mdee Atwaa Tuzo Hii Nchini Uganda

Ukiongelea wadada wanaofanya Goodmusic kwa Afrika Jina la Vanessa Mdee haliwezi kukosekana kwenye list ya namba za juu, hii inatokana pengine labda na ubora wa kazi zake na uwekezaji wake aliowekeza kwenye muziki wake.
  Kwenye headlines nyingine jana nchini Uganda mwanadada Vanessa ametajwa kama msanii wa kike anaetisha kwa kupendeza Afrika Mashariki kwenye Tuzo za Asfa 2016.
 seetheafrica.com Inaungana na Watanzania wote kwa ujumla kumpongeza Cash Madame Vee kwa Ushindi 
wake. 

Vanessa Mdee Ametoa Sababu Ya Kuzipiga Chini Kolabo Za Wamarekani: 

Post a Comment
Powered by Blogger.