Britney Spears Ammwagia Sifa Kibao Mpenzi Wake..


 

 Wikiendi iliyopita muigizaji na mwanamuziki mmarekani Britney Spears alionekana akijiachia na boyfriend wake mpya mshikaji anaejulikana kwa jina la Sam Asghari. Katika pozi toafautitofauti mwanamuziki huyo ameonekana kulifurahia penzi lake na mwenye furaha bmuda wote.
 "Jamaa sio tu kama ni mtu poa... Ni zaidi ya mwanaume kwangu" alisema Britney alipohojiwa na kituo kimoja cha habari walipokua dinner kwenye mgahawa mmoja jijini Los Angeles.

 Chemical Na Dada Hood Kwenye Stage Ya After School Bash 2016:

Post a Comment
Powered by Blogger.